Tanzania kuwasilisha miradi ya uwekezaji ya zaidi ya Sh7 trilioni kuvutia wawekezaji wa kimataifa
Mwananchi · 21 hours ago
Serikali imeweka mezani miradi ya maendeleo yenye fursa za uwekezaji yenye thamani ya Dola za Marekani bilioni 2.85, sawa na zaidi ya Sh7 trilioni,...